RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Ufaransa Nchini
Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui alipowasili katika Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar,
kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kwa
Wafanyabiashara wa Ufaransa kuja Zanzibar kuwekeza,uliofanyika katika ukumbi wa
hoteli hiyo leo 29-5-2024, na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Tanzania Nchini
Ufaransa Mhe.Ali Jabir Mwadin
BALOZI wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Nabil
Hajlaoui akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa majadiliano ya fursa za Wawekezaji na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar, uliyofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa
Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa
kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
WASHIRIKI wa Mkutano wa Majadiliano na fursa za
Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar katika
sekta mbalimbali, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichini) akifungua mkutano huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Pakr Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024

WAWEKEZAJI na Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akifungua mkutano wa Majadiliano na
fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar
katika sekta mbalimbali, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt
Zanzibar leo 29-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa
Majadiliano na fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa
kuwekeza Zanzibar katika sekta mbalimbali za biashara , mkutano huo
uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Ufaransa Nchini
Tanzania Mhe. Nabil Hajlaoui, baada ya kuufungua Mkutano wa Majadiliano na
fursa za Uwekezaji kwa Wafanyabiashara kutoka Nchini Ufaransa kuwekeza Zanzibar
, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatt Zanzibar leo 29-5-2024, na
(kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa MEDEF lnternational Sustainable Cities Task,
Mhe.Gerard Wolf na (kulia kwa Balozi) Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe.
Ali Jabir Mwadin.
No comments:
Post a Comment