Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akivishwana Rais wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CIDM), Kanal Nilton Rolim Medani ya Ukamanda wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani kutambua mchango wake katika michezo wakati alipofunga Mkutano wa 79 wa Baraza hilo uliyofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam Mei 17, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), Kanali Nilton Rolim alipowasili kwenye hoteli ya Johari Rotana Jijini Dsr es salaam kufunga Mkutano wa Baraza hilo, Mei 17, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Mkutano wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam Mei 17, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofunga Mkutano wa Baraza hilo uliyofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam Mei 17, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Mkutano wa 79 wa Baraza la Michezo ya Majeshi Duniani (CISM), kwenye ukumbi wa hoteli ya Johari Rotana Jijini Dar es salaam Mei 17, 2024. Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment