RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana
na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid alipowasili katika
viwanja vya Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya
uzinduzi wa Brandi mpya ya The Mora uliofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar na
(kushoto kwa Mkuu wa Mkoa) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na
Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji wa Mradi wa
Hoteli ya The Mora Sebastian Ebel,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya The
Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya uzinduzi wa Brandi mpya ya
The Mora uliofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Waziri wa
Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuzindua Brandi
Mpya ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar 12-6-2024 katika Hoteli The Mora Matemwe
Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama
Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid
uzinduzi huo uliyofanyika leo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid na (kushoto) Muwekezaji wa
Mradi huo Bw. Sebastian Ebel na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Mhe.Shariff Ali
Shariff wakipiga makofi baada ya kuzindua kwa Brandi Mpya ya The Mora
uliyofanyika leo 12-6-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa
Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Brandi Mpya ya The
Mora, uzinduzi huo uliyofanyika leo Zanzibar katika ukumbi wa hoteli ya The
Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa Rais) Muwekezaji wa Mradi
huo Bw. Sebastian Ebel na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi, Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.
Shariff Ali Shariff na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid,
uzinduzi huo uliyofanyika leo Zanzibar 12-6-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimpongeza Muwekezaji Bwa.Sebastian Ebel
baada ya kuzindua Bradi Mpya ya The Mora
Uzinduzi huo uliyofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar
katika hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na
Muwekezaji wa Bw.Sebastian Ebel (kulia kwa Rais) wakielekea katika eneo
lililoandaliwa kwa ajili ya kuhutubia na kuzindua brandi mpya ya The Mora,
katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
12-6-2024
WASANII wa Kikundi cha Uwaradi Zanzibar wakitowa
burudani katika hafla ya Uzinduzi wa Brandi Mpya ya The Mora, iliyozinduliwa Zanzibar
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo
12-6-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuzindua Brandi Mpya ya The
Mora uzinduzi huo uliyofanyika leo 12-6-2024 Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli
ya The Mora Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja
WAGENI Waalikwa katika Uzinduzi wa Brandi Mpya
ya The Mora ,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuzindua Brandi Mpya
ya The Mora iliyozinduliwa leo Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya The Mora
Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-6-2024

No comments:
Post a Comment