RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini
alipowasili katika viwanja vya Masjid Taqwaa Mwanakwerekwe Meli Nne Wilaya ya Magharibi “B” Unguja,
kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo
26-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika
katika Masjid Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo
26-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Meli
Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Watoto,
baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa, iliyofanyika katika Masjid
Taqwaa Meli Nne Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 26-7-2024.
No comments:
Post a Comment