RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Switzerland
Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 18-7-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa
Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu
Jijini Zanzibar leo 18-7-2024 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake
Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar
mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider Chassot, baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
leo 18-7-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika picha ya pamoja na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider
Chassot, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 18-7-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiagana na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Dider

Jijini Zanzibar leo 18-7-2024.
No comments:
Post a Comment