RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano katika Hoteli
ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar, kwa ajili ya ufungua Mkutano wa Tatu wa
Pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo
cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP)
na (kushoto kwa Rais)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar.Mhe
Dkt. Saada Mkuya Salum na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam
Mwinyi, uliofanyka leo 17-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuufungua Mkutano wa Tatu wa
pamoja Kati ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar na Kituo
cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar
(ZRCP) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 17-9-2024.
WASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha
Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) kwa
kushirikiana na Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar, wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na kuufungua mkutano huo, uliofanyika katika
ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Jijini Zanzibar leo 17-9-2024, kuzungumzia “Matumizi ya Teknolojia katika
kuongeza ubunifu ili kuweza kuchokea uazishaji wa Taasisi changa na
zinazoinukiaWASHIRIKI wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha

zinazoinukia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Utafiti wa
Wazalishaji Wanaoibuka Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Kituo
cha Utafiti za Maendeleo ya Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar
(ZRCP) Prof Mohammed Hafidh Khalfan,
wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Kituo cha Utafiti Masuala ya
Kijamii Zanzibar (ZRCP) uliyofanyika leo 17-9-2024 katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinat Al Bahar Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akikabiwa zawadi maalumu na Mjumbe wa Bodi ya Kituo cha Utafiti za Maendeleo ya
Kijamii, Uchumi na Uchambuzi wa Sera Zanzibar (ZRCP) Bi.Rukiya Wadoud (kulia)
wakati wa hafla ya ufunguzi wa mkutano wa Tatu wa Kituo hicho uliyofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahar Mbweni Zanzibar leo 17-9-2024
No comments:
Post a Comment