Habari za Punde

Matukio ya Picha Waziri Mkuu Bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete  (wa pili kulia)  na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,  Kazi,  Vijana, Ajira  na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi, bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni jijini Dodoma, Oktoba 30, 2024.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.