Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja
na viongozi mbalimbali kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa Merck
Foundation Africa Asia Luminary katika hoteli ya
Johari Rotana Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Oktoba, 2024. Mkutano huo
unahudhuriwa na watu kutoka nchi mbalimbali, ambapo miongoni mwao ni Wenza wa Wakuu wa
Nchi 15 za Afrika na Asia, Watunga Sera, Wanataaluma,
Watafiti na Wanahabari wa masuala ya
Afya kutoka nchi mbalimbali duniani.


No comments:
Post a Comment