Habari za Punde

WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAAGA MIILI YA WALIOFARIKI KARIAKOO.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki baada ya kudondokewa na jengo katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam. Zoezi hilo limefanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Novemba 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)






















 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.