Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini
kitabu cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa
Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO)
Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es
Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima
za mwisho kwenye jeneza lenye mwili aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi
Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile
katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na
Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile
katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafariji Wanafamilia wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.
No comments:
Post a Comment