Habari za Punde

Mashindano ya Resi za Ngalawa Tamasha la Vumba Zanzibar Bandari ya Kizingo Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2024

Wananchi kutoa sehemu mbalimbali ya Unguja wakifuatilia Resi za Ngalawa zilizofanyika katika Bandari ya Kizingo Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar, ikiwa ni Tamasha la Vumba lililofanyika leo katika viwanja vya Mnazi mmoja.










No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.