Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa kwa
kuhutubia viongozi mbalimbali pamoja na wajumbe wa Mkutano huo uliofanyika
katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma
Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano Mkuu Maalum
wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment