Habari za Punde

MAJALIWA ASHIRIKI MAZIKO YA BI ASINA OMARI

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa pole Mzee Abdalah Saidi Nchamala kutokana na kifo cha mkewe Marehemu Asina Omary Nyimbilile, aliposhiriki maziko yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumzaa na waombolezaji aliposhiriki maziko Marehemu Bi. Asina Omary Nyimbilile yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki swala ya kumuombea Marehemu Bi. Asina Omary Nyimbilile, aliposhiriki maziko yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Bi. Asina Omary Nyimbilile, aliposhiriki maziko yaliyofanyika kwenye makaburi ya Jumuiya, Kata ya Nkowe, Ruangwa mkoani Lindi Februari 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.