MUONEKANO wa Majengo ya Hotel ya Sandies Nungwi
Beach Resort iliyowekwa jiwe la msingi la mradi wa ujenzi huo wa hoteli, na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi, leo 26-2-2025 Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali na
Wawekezaji wa Mradi wa Hoteli ya Sandies Nungwi Beach Resort, alipowasili
katika viwanja vya hoteli hiyo kwa ajili ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi
wa hoteli hiyo leo 26-2-2025, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo ya kitaalamu ya ujenzi wa Hoteli ya
Sandies Nungwi Beach Resort kutoka kwa muwekezaji Paolo Rosso, wakati wa hafla
ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa hoteli hiyo, uliyofanyika leo
26-2-2025,Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia la uwekaji wa Jiwe la Msingi
la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya Sandies Nungwi Beach Resort Zanzibar na Muwekezaji
wa Mradi huo, Mr.Burgio,(kushoto) hafla
hiyo iliyofanyika leo 26-2-2025 Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa
Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.
Shariff Ali Shariff
No comments:
Post a Comment