RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislam, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika
leo 7-2-2025, katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini
Zanzibar.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumaliza kwa Sala ya
Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar leo 7-2-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam
katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, baada
ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-2-2025, katika
Masjid Jibril Mkunazini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa
Rais) Sheikh Hemed Rashid Hikmany.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya
kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Jibril Mkunazini
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 7-2-2025
No comments:
Post a Comment