Habari za Punde

WAZIRI CHANA AFUNGUA RASMI ONESHO LA WIKI YA UBUNIFU LA ITALIA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akifungua rasmi Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali wakubwa wa zamani kutoka nchini Italia lililofanyika usiku wa  Februari 10,2025 katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Coppola (kulia) akimuonyesha baadhi ya picha zilizo katika Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (katikati) mara baada ya ufunguzi wa onesho hilo lililofanyika usiku wa  Februari 10,2025 katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali wakubwa wa zamani kutoka nchini Italia lililofanyika usiku wa  Februari 10,2025 katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Italia nchini Tanzania, Mhe. Giuseppe Coppola akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali wakubwa wa zamani kutoka nchini Italia lililofanyika usiku wa  Februari 10,2025 katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam.

Kamishna wa Biashara wa Shirika la Biashara la Italia kutoka jijini Nairobi, Bw. Giuseppe Manenti akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Onesho la Wiki ya Wabunifu wa Italia linaloonesha picha za wabunifu mbalimbali wakubwa wa zamani kutoka nchini Italia lililofanyika usiku wa  Februari 10,2025 katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.