Habari za Punde

WAZIRI MKUU ATOA POLE KWA MCHENGERWA


Waziri Mkuu Kaassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed  Mchengerwa aliyefiwa na Baba yake yake mzazi, Omari Rashid Mchengerwa, nyumbani kwa Waziri huyo Masaki jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Omari Rashid Mchengerwa, Baba mzazi wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohammed Mchengerwa, nyumbani kwa Waziri huyo Masaki jijini Dar es salaam. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji alipokwenda nyumbani kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, Masaki jijini Dar es salaam kutoa pole ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri huyo, marehemu Rashid Mchengerwa, February 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.