Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi Katika Maziiko ya Maryam Maziku Kwahani Unguja

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akibeba jeneza likiwa na mwili wa Mareheme Maryam Maziku, mzee wa Jimbo la Kwahani Zanzibar,katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya Sala ya Maiti  iliyofanyika katika Msikiti huo 12-3-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Maiti kumsalia Marehemu Maryam Maziku, mkaazi wa Kwahani Jimbo la Kwahani Zanzibar, Sala hiyo iliyofanyika katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja 12-3-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Maiti kumsalia Marehemu Maryam Maziku mkaazi wa Kwahani Jimbo la Kwahani Zanzibar, iliyofanyika katika Msikiti wa Bomani Polisi Wilaya ya Mjini Unguja 12-3-2025. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.