RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein
Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Dini ya Kiislamu, alipowasli
katika viwanja vya Masjid Mohammed VI Bakwata Kinondoni Jijini Dar es Salaamu
kwa ajili ya ufunguzi wa Dua Maalumu ya Kuwaombea Mamufti.Masheikh, Watu Waliotangua
na Kuliombea Taifa Amani pamoja na Viongozi Wakuu wa Serikali, dua hiyo
iliyofanyika leo 8-5-2025
No comments:
Post a Comment