RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kombo Hassan Juma kuwa Kamishna
wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho
iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025, na (kushoto
kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said.
KOMBO Haasan Juma akiapa kuwa Kamishna wa Tume
ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi
wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kamishna wa Tume
ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, Kombo Hassan Juma, baada ya kumuapisha
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025 na (kushoto kwa Rais)
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
No comments:
Post a Comment