Menu

Friday, June 6, 2025

Innalilah wainna ilayhi raajiun Mchezaji wa Zamani wa Malindi na Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni Zanzibar Ali Shariff Adolf Amefariki leo

 Ali sharif Adolf mchezaji wa zaman wa malindi ameshatangulia mbele ya haki. Muda huu.. maiti bado iko spitali.

 Tutajuilishana zaidi kwa kila kinachoendelea. Tumeondokewa Riverside

Innalilah wainna ilayhi raajiun

No comments:

Post a Comment