Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia
wananchi wa Msumbiji katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa
Jamhuri hiyo, ikiwa ni mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel
Francisco Chapo. Sherehe hizi zimefanyika katika Uwanja wa Machava, Mjini
Maputo, tarehe 25 Juni 2025.

No comments:
Post a Comment