Menu

Friday, July 11, 2025

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Amejumuika na Wananchi wa Kianga Katika Sala ya Ijumaa Iliyofanyika Masjid Lillah Kianga

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, alipowasili katika viwanja vya masjid hiyo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 11-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati kizungumza na kuwasalimia Wananchi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati kizungumza na kuwasalimia Wananchi, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.



RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wananchi wa Kianga baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.
 

No comments:

Post a Comment