RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid
Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja, alipowasili katika viwanja vya
masjid hiyo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 11-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika
Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) wakati kizungumza na kuwasalimia Wananchi, baada ya kumalizika
kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi
“A” Unguja leo 11-7-2025

“A” Unguja leo 11-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya
Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika
katika Masjid Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wananchi
wa Kianga baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid
Lillah Kianga Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 11-7-2025.
No comments:
Post a Comment