Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko (katikati) akiwa ameshika kitabu cha Mpango kazi wa Kitaifa wa kutekeleza Ajenda ya Wanawake, Amani na Usalama 2025 – 2029 mara baada ya kuuzindua mpango huo jijini Dar es Salaam tarehe 19 Agosti, 2025. Kulia kwake ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima na kushoto kwake ni , Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Stergomena Tax.
No comments:
Post a Comment