Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Menu
▼
Thursday, August 7, 2025
Michuano ya Chan 2024 Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Kati ya Nigeria na Senegal
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla jana tarehe 05.08.2025 alishiriki katika michuano ya Chan2024 na kushuhudia mchezo uliozikutanisha timu ya Nigeria na Senegal katika Uwanja wa New Amani Complex Zanzibar.
No comments:
Post a Comment