Habari za Punde

Michuano ya Chan 2024 Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Kati ya Nigeria na Senegal

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla jana tarehe 05.08.2025 alishiriki katika michuano ya Chan2024 na kushuhudia  mchezo uliozikutanisha timu ya Nigeria na Senegal katika Uwanja wa New Amani Complex Zanzibar.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.