
Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Niger Antony Sosah katika dakika 58 kipindi cha pili cha mchezo huo uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, dhidi ya Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, katika mchezo huo Timu ya Taifa ya Niger imeshinda kwa bao 1-0.
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars ' imeshindwa kuutambia uwanja wake wa nyumbani kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Niger , mchezo wa kuwania kufuzu kombe la dunia uliochezwa jana.
No comments:
Post a Comment