Habari za Punde

Mgombea Uwakilishi Kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe Shaabn Ali Othman Amechukua Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar

Mgombea Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Shaaban Ali Othman akielekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi  za Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukuwa Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae  Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae wakimshindikiza Mgombea wao wa Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae  katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.




Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Mpendae Zanzibar wakimshindikiza Mgombea wao wa Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae  kuelekea Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Maisara Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuchukua Fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025.

Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Shabaan Ali Othman akisaini buku la kuchuku fomu ya Uteuzi wa Kugombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar alipofika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilia ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025 kwa ajili ya kuchukua fomu. 
MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpendae Ndg.Joshua Matajiri akimkabidhi Fomu ya Uteuzi ya Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar ,Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Shabaan Ali Othman, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025.
MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpendae Ndg.Joshua Matajiri akimkabidhi Fomu ya Uteuzi ya Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar ,Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Shabaan Ali Othman, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025.

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpendae Ndg.Joshua Matajiri akimkabidhi Fomu ya Uteuzi wa Udiwani Wadi ya Migombani kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Hamoud Saleh Fara, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025.

MSIMAMIZI Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpendae Ndg.Joshua Matajiri akimkabidhi Fomu ya Uteuzi wa Udiwani Wadi ya Mpendae kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Sharifa Mohammed, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi ya Uchaguzi Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025.

WAGOMBEA Uwakilishi na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mpendae Zanzibar wakiwa katika Ofisi ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini, Maisara Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Jimbo la Mpendae Ndg.Joshua Matajiri akitowa maelezi ya ujazaji wa fomu, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-9-2025 (katikati) Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe. Shabaan Ali Othman na (kulia kwake) Mgombea Udiwani Wadi ya Mpendae Mhe. Sharifa Mohammed na (kushoto kwake) Mgombea Udiwani Wadi ya Migombani Mhe.Hamoud Saleh Fara.

MGOMBEA Uwakilishi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe.Shabaan Ali Othman akiwa katika picha ya pamoja na Vijana wa Jimbo la Mpendae baada ya kumalizika kwa hafla ya uchukuaji wa Fomu ya Uteuzi wa Uwakilishi wa Jimbo la Mpendae, wakiwa katika viwanja vya Ofisi ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Unguja Maisara Jijini Zanzibar leo 3-9-2025.









No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.