Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini Ndugu Zitto Zuberi Kabwe akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika uzinduzi rasmi wa kampeni zake katika jimbo hilo leo wakati akitangaza sera za chama chake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.
NENO KWA NENO UJUMBE MZITO WA DK.BASHIRU KWA WATANZANIA KUHUSU RAIS SAMIA
-
“Niwape ushuhuda wa pili kiongozi wetu huyu alionesha umakini, utulivu na
ujasiri mpaka tukavuka”
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KWA mara ya kwanza Katibu...
58 minutes ago
No comments:
Post a Comment