Menu

Sunday, October 19, 2025

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Kati Mlandege na Mafunzo Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao ZedungTimu hizo Zimetoka Sare ya 0-0

Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akiruka mkwanja wa  beki wa Timu ya Mafunzo wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung.Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.0-0.
 

No comments:

Post a Comment