Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Menu
▼
Monday, October 20, 2025
Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Mchezo Uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung Timu ya Muembemakumbi City Imeshinda Bao 2-0- Dhidi ya Timu ya Chipukuzi
Mchezaji wa Timu ya Muembemakumbi City akimpita beki wa Timu ya Chipukizi wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ mchezo uliyofanyika leo 20-10-2025 katika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Muembemakumbi City imeshinda mchezo huo kwa Bao 2-0.
No comments:
Post a Comment