Menu

Tuesday, October 21, 2025

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia wananchi wa majimbo ya Ubungo, Kibamba, na Kawe na Kinondoni katika viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi baadhi ya wagombea Ubunge wa Majimbo mbalimbali ya Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.











Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa majimbo ya Kinondoni, Kibamba, Kawe na Ubungo katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM zilizofanyika kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2025.


No comments:

Post a Comment