Mhe Hemed Suleiman Abdullah Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Kiwani Pemba akifanya usajili kwa ajili ya maandalizi ya kuaza kwa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja la Wawakilishi Zanzibar utakaoaza Alhamis 6-11-2025.
Mkutano huo unaofanyika kwa kwa mujibu wa kifungu cha 90 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, kinachoweka masharti ya kuitisha Baraza Jipya baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu si zaidi ya siku tisini toka kuvunjwa kwa Baraza.









No comments:
Post a Comment