Habari za Punde

Wajumbe Wafanya Usajili Kwa Ajili ya Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja la Wawakilishi la Zanzibar Utakaoaza Kesho Alhamis 6-11-2025

Mhe Hemed Suleiman Abdullah Mwakilishi Mteule wa Jimbo la Kiwani Pemba akifanya usajili kwa ajili ya maandalizi ya kuaza kwa Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Kumi na Moja la Wawakilishi Zanzibar  utakaoaza Alhamis 6-11-2025.   
Mkutano huo unaofanyika kwa kwa mujibu wa kifungu cha 90 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, kinachoweka masharti ya kuitisha Baraza Jipya baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu si zaidi ya siku tisini toka kuvunjwa kwa Baraza.









 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.