Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akipata maelezo kutoka kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Dodoma Dkt. Ibenzi Ernest (kulia kwake) alipotembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa Dodoma Novemba 25, 2025. Kushito kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na kulia ni Mkuu wa Wilaya Dodoma Alhaji Jabir Shekimweri. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MCHENGERWA AAHIDI KUONGEZA USHIRIKIANO NA TAMISEMI KWENYE AFYA, APEWA MAUA
YAKE AKIAGWA LEO
-
Na Mwandishi wetu- Dodoma
Waziri Mteule wa Afya, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa amemhakikishia Waziri
wa Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment