MDAU HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA UKUMBI WA SALAMA BWAWANI HOTELI
MAMBO YA TUNZO ZA WASANII BORA WA MWAKA 2008 & 2009 BERRY BLACK AKIWA NA TUNZO YAKE YA MSANI BORA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
MSANII WA KIZAZI KIPYA CHIDY BENZ NDANI YA NYUMBA AKIMPONGEZA MSANII BERRY BLACK JUKWAANI KWA KUWA MSANII BORA WA KIUME WA KIZAZI KIPYA ZANZIBAR 2009
AFISA WA ZMC LTD DAUDI ISMAIL KULIA AKIMKABIDHI TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA KIUME WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BERRY BLACK KUSHOTO
MSANII BORA WA KIKE WA ZANZIBAR MUSIC AWARDS BABY JAY KWA MUZIKI WA KIZAZI KPYA ZANZIBAR
NAIBU KATIBU MKUU UVCCM ZANZIBAR MOHAMMED HASSAN MOYO AKIMKABIDHI TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA KIKE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA BABY JAY. KWA MWAKA 2009
MGENI RASMIN KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI WA TUNZO KWA WASANI BORA WA MWAKA 2008 & 2009 WAZIRI WA BIASHARA UTALII NA UWEKEZAJI SAMIA SULUHU HASSAN NA MKURUGENZI WA ZANZIBAR CORPORATION MOHAMMED SEIF KHATIB WAKIFUATILIA UTOAJI WA TUNZO HIZO KATIKA UKUMBI WA HOTELI YA BWAWANI
MSANII WA MWAKA BORA CHIPUKIZI WA KIZAZI KIPYA DORIKA AKIWA KAPOZI NA TUNZO YAKE
MWENYEKITI WA UVCCM HAMADI MASAUNI AKIMKABIDHI TUNZO YA MSANII BORA CHIPUKIZI WA MWAKA KATIKA MUZIKI WA KIZAZI KPYA ZANZIBAR DORIKA
MSANII MKONGWE GWIJI WA MUZIKI WA KIDUMBAKU MAKAME FAKI AKIFURAHIYA TUNZO YAKE YA MUZIKI WA KIDUMBAKU
KAIMU MKEMIA MKUU ZANZIBAR MAYASA SALUM AKIMKABIDHI TUNZO YA KIKUNDI BORA KWA MUZIKI WA NGOMA ASILI YA KIDUMBAKU KIKUNDI CHA SINA CHUKI MAKAME FAKI BAADA YA KIKUNDI HICHO KUWA BORA KWA MWAKA 2008 & 2009
KIONGOZI NA MSANII WA BENDI YA COCONUT REY AKIWA NA TUNZO YAKE BAADA YA KUKABIDHIWA
VIONGOZI WAALIKWA WAKIFUATILIA SHEREHE ZA TUNZO YA WANAMUZIKI BORA WA SANAA MBALIMBALI ZANZIBAR
MWINYI RAMADHANI JAMAL AKIMKABIDHI MSHINDI WA TUNZO YA MUZIKI WA DANSI KWA MWAKA 2008 & 2009 KIONGOZI NA MSANII WA BEND YA COCONUT REY (KUSHOTO) KWA KUPATA USHINDI WA TUNZO HIYO
MKURUGENZI WA KAMPUNI YA ZANZIBAR MEDIA CORPORATION LTD MHE MOHAMMED SEIF KHATIB
MAMBO YA NGOMA ASILIA KUTOKA WA WASANII WA DCMA ZANZIBAR
WASANII WA CHUO CHA MUZIKI ZANZIBAR DCMA WAKITOWA BURUDANI KATIKA SHEREHE ZA KUWATUNUKIA TUNZO WANAMUZIKI BORA WA ZANZIBAR WIKICHEZA NGOMA ZA ASILIA
KIONGOZI WA BENDI YA COCONUT REY AKIFUATILIA KWA MAKINI UTOAJI HUO WA TUNZO ZA WASANII BORA WA MWAKA 2008/ 2009 KATIKA UKUMBI WA SALAMA BWAWANI HOTELI
WAPENZI WA MUZIKI WA ASILI WA TARAAB NA WA KILEO NA ZENJ FLAVA WAKIFUATILIA UTOWAJI WA TUNZO KWA WASANII MBALIMBALi
WAHITIMU TaSUBa WAHIMIZWA KUILINDA AMANI YA TANZANIA
-
Na MWANDISHI WETU, Bagamoyo
WAHITIMU wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), wamehimizwa
kuilinda amani nchini.
Akizungumza katika Mahafali ya...
0 Comments