WACHUUZI WA SAMAKI KATIKA SOKO LA MARIKITI KUU DARAJANI WAKIWA NJE YA SOKO HILO WAKISUBIRI WAVUVI KULETA SAMAKI MNADANI HAPO, KUTOKA NA KIPINDI HICHI CHA UPEPO BIDHAAA HIYO IMEKUWA PUNGUFU SOKONI HAPO. MANDHARI YA SOKO LA MARIKITI KUU YA DARAJANI LIKIWA KATIKA HALI NZURI LIKITOWA HUDUMA KWA WAKAZI WA MJI WA UNGUJA KWA BIDHAA MBALIMBALI SOKONI HAPO AMBALO NI SOKO LA ASILI.
BIASHARA YA KABONI YAFUNGUA NEEMA MPYA LINDI
-
Na Mwandishi Wetu, Lindi
Fursa ya biashara ya kaboni imeelezwa kuwa mkombozi mpya wa uchumi wa
misitu nchini, huku Serikali ikihimiza wananchi na wadau k...
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments