Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Wazee, Makundi Maalum, majirani na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja kwenye Futari aliyowaandalia, tarehe 16 Machi, 2026.

Matukio mbalimbali kwenye futari aliyowaandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya Viongozi, Wazee, Makundi Maalum, majirani na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, tarehe 16 Machi, 2026.

Viongozi, Wazee, Makundi Maalum, majirani na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika kwenye Futari aliyowaandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 16 Machi, 2026.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiitikia dua pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kusini, Unguja Mhe. Hamida Mussa Khamis wakati wa futari aliyowaandalia Viongozi, Wazee, Makundi Maalum, majirani na wananchi wa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, tarehe 16 Machi, 2026.
-
*WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA JAMHURI YA ZIMBABWE, HELEN BAWANGE
DINGANI*
*Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
M...
0 Comments