Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi leo tarehe 15 Machi, 2026 ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani humo.
Muonekano wa Shule ya Sekondari Mgombe yenye mkondo wa Amali ya Kihandisi iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi ambayo leo tarehe 15 Machi, 2026 ameweka jiwe la msingi ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi ya kukagua na kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo mkoani humo.
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, akizungumza katika Mkutano wa hadhara na wananchi wa Inyonga Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, mkoani Katavi tarehe 15 Machi, 2026.


0 Comments