6/recent/ticker-posts

HATUNA UMEME ZANZIBAR

Usione sipokei simu kama ukinipigia maana umeme hatuna na sina sehemu ya kwenda kuichaji hatuna umeme tokea Jumaane. Na hata ukumbi utadorora katika kupandisha picha za matukio.


Tunawaomba radhi kwa usumbufu

Post a Comment

0 Comments