Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wakuu wa
Kamandi, Wakuu wa Matawi na Makamanda wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
kabla ya kufungua mkutano wa 9 wa CDF na Makamanda uliofanyika katika Shule ya
Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga tarehe 15 Desemba 2025.

Matukio mbalimbali wakati wa mkutano wa 9 wa
CDF na Makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani
Tanga. Mkutano huo wa CDF na Makamanda ulifunguliwa na rasmi na Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
tarehe 15 Desemba 2025.

0 Comments