6/recent/ticker-posts

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAADILI NA HAKI ZA BINAADAMU YAFANYIKA ZANZIBAR.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika ukumbi wa mkutano viwanja vya maonesho nyamanzi Wilaya ya Magharibi "B" Unguja kwa ajili ya Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanika leo 15-12-2025 Zanzibar.
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Asaa Ahmed Rashid akitoa maelezo kuhusiana na ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora  Mw,Dk,Haroun Ali Suleiman akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya  Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi katikati kushoto akikabidhiwa Zaadi ya Picha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora  Mw,Dk,Haroun Ali Suleiman kwa Mchango wake Mkubwa katika kuhakikisha Maadili na Haki za Binaadamu zinatekelezwa Nchini katika hafla ya  Maadhimisho ya  Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Hussein Ali Mwinyi akitoa hotuba katika hafla ya Maadhimisho ya  Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Wageni waalikwa  na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya  Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja.
Baadhi ya Wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla ya  Maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za Binaadamu yaliofanyika katika Ukumbi wa Maonesho Nyamanzi Magharibi B Unguja.
PICHA NA YUSSUF SIMAI ,MAELEZO ZANZIBAR.15/12/2025.

Post a Comment

0 Comments