6/recent/ticker-posts

RAIS DKT. SAMIA AKIWASILI SHULE YA KIJESHI YA ULINZI WA ANGA ( SKUA) MKOANI TANGA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga kwa ajili ya kufungua mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Makamanda, tarehe 15 Desemba, 2025.




Post a Comment

0 Comments