6/recent/ticker-posts

Waziri Pembe Atangaza Zawadi ya Mshindi wa Kwanza wa Mapinduzi Cup 2026 Shilingi Milioni Mia Moja na Hamsini na wa Pili Milioni Mia Moja

Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Zanzibar MheRiziki Pembe Juma akiitambulisha Kamati ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2026 na kuizindua wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari za Michezo kutangazi Timu zitazoshiriki michano hiyo, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Hotel Jijini Zanzibar. 
Baadhi ya wageni waalikwa katika hafla ya kutangaza Timu zitakazoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2026, yatakayofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, wakimsikiliza Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Riziki Pemba Juma.

Baadhi ya waandishi wa habari za michezo Zanzibar  wakimsikiliza Waziri wa Habari,Sanaa,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Riziki Pemba Juma. wakati akitangaza Timu zitakazoshiriki na zawadi ya Bingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2026 na Mshindi wa Pili, hafla hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex  Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments