Kama una kumbukumbu yoyote na wauzaji wa aina hii tukumbushe basi mdau
Naibu Kadhi ataka vituo vya yatima kulea watoto siyo kuwafuga
-
Na MWANDISHI WETU
NAIBU Kadhi Mkuu Sheikh Khamis Ngeruko, amevitaka vituo vya kulea yatima
nchini kuto kufuga watoto hao badala yake wawalee na kuwakuza...
5 minutes ago
1 Comments
Hii safi sana.
ReplyDeleteInanikumbusha siku hizo nasimama kwenye mivinje upande wa pili na kwenda kununua samaki fresh kwa jamaa hao. Lakini nasikia siku hizi mkule kama huyo hapo bei yake utakimbia. Sasa nani wanaonunua samaki kama samaki ni ghali sana? Na jee ile biashara ya hao jamaa kufukuzana na jamaa wa baraza la mji haipo tena?
Mdau
USA