6/recent/ticker-posts

UPISHI WA NDIZI

Maandalizi
Sufuria ikiandaliwa

Nazi ikikunwa na mtaalamu kutoka Canada
Zimeshainjikwa kwenye moto wa kuni na makarara
Jani la mgomba likiwekwa juu kuongeza ladha ya ndizi halisia
Zimekwisha wiva zikisubiri walaji

Usifanye maskhara ni tamu. Hamna za kuongeza?...
Picha kwa hisani ya Caitlin: http://zanzibar-caitlin.blogspot.com/

Post a Comment

0 Comments