6/recent/ticker-posts

KAMATI MAALUM YA CCM YAKUTANA ZANZIBAR

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume, akiendesha kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa, kwa Upande wa Zanzibar Huko Afisi kuu ya CCM Kisiwandui jana.


Wajumbe wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashuri Kuu ya CCM, Zanzibar wakiangalia
makabrasha yao kuona mada mbali mbali za kikao hicho kabla ya kuanza, chini ya Mwenyekiti wake Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza La Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu

Post a Comment

0 Comments