6/recent/ticker-posts

Simba Yaaga Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026 Kwa Pigo Cha Bao 1-0 Katika Mchezo wa Nusu Fainali Dhidi ya Timu ya Azam Uliofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar

Mchezaji wa Timu ya Simba  akijaribu kumpita beki wa Timu ya Azam wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali Michuano ya Kombe la NMB Mapinduzi Cup, mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. Timu ya Azam imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0. 













Post a Comment

0 Comments