MCHEZAJI
wa Timu ya Singida Joseph Guede akimpita beki wa Timu ya Yanga Shadrak
Boka wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali, Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026,
mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa New AmaanComplex Zanzibar, Timu ya Yanga
imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
MFUNGAJI
wa bao la ushindi la Timu ya Yanga dhidi ya Timu ya Singida Maxi Zengeli akishangilia
bao, wakati wa mchezo wa Nusu fainali michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026,
mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar Yanga imeshinda
mchezo huo kwa bao 1-0
GOLOKIPA
wa Timu ya Singida Metcha Mnata akiwania mpira na mchezaji wa Timu ya
Yanga katika mchezo wao wa Nusu Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026,
mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, timu ya Yanga
imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.












0 Comments